Yohane wa Lodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohane wa Lodi, O.S.B. Cam. (Lodi, Italia Kaskazini, 1025Gubbio, Italia ya Kati, 1116) alikuwa mkaapweke na karani wa Petro Damiani, ambaye alimsindikiza katika safari zake za kidiplomasia akaandika maisha yake[1].

Baada ya kuongoza monasteri ya Fonte Avellana akawa askofu wa Gubbio tangu mwaka 1104 hadi kifo chake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. John of Lodi, Vita Petri Damiani, ed. S. Freund, Studien zur literarischen Wirksamkeit des Petrus Damiani (Hannover, 1995), pp. 177-265 (in Latin)
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Stephan Freund, GIOVANNI da Lodi, santo, in Dizionario biografico degli italiani, vol. 56, Roma, Istituto dell'Enciclopedia Italiana, 2001. Modifica su Wikidata
  • Giuseppe Cremascoli, Su Giovanni da Lodi agiografo di Pier Damiani, in Archivio Storico Lodigiano, vol. 139, 2020, pp. 113-128. URL consultato il 7 settembre 2023.
  • Mauro Sarti, La Vita di S. Giovanni da Lodi Vescovo di Gubbio Scritta da un Monaco Anonimo del Monistero di Santa Croce dell'Avellana, Tratta ora per la prima volta da un antichissimo Codice, volgarizzata, ed illustrata dal P.D. Mauro Sarti Lettore Camaldolese, e dal medesimo dedicata all'Illustrissimo e Reverendissimo Monsignore Giacomo Cingari Vescovo di Gubbio, in Jesi, nella stamperia di Gaetano Caprari, 1748.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.