Willie Bester

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Willie Bester (alizaliwa Februari 29, 1956) [1] ni mchoraji, mchongaji sanamu na msanii kutoka nchini Afrika Kusini. Anajulikana sana kwa kupinga mfumo wa ubaguzi wa rangi kupitia kazi yake ya sanaa. Kwa sasa anaishi Kuilsrivier, Afrika Kusini na mke wake, Evelyn [2] na watoto wao watatu. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Willie Bester". South African History Online. Iliwekwa mnamo 7 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ross, Doran (1995). "On Art and Museums in South Africa after the Elections". African Arts. 28 (1): 1–7. doi:10.2307/3337242. JSTOR 3337242.
  3. "Willie Bester". The Presidency Government of South Africa. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-16. Iliwekwa mnamo 7 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Willie Bester kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.