Togdheer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
.

Togdheer (Kisomali: Togdheer‎, Kiarabu: تُوجدَير‎) ni mkoa wa kiutawala (gobol) kaskazini mwa Somalia.[1][2]

Mkoa wa Togdheer umepakana na Woqooyi Galbeed upande wa kaskazini na magharibi, pia Ethiopia upande wa kusini, na mashariki imepakana na mikoa ya Sanaag and Sool.

Mji mkuu wake ukiwa ni Burao (Burco), jina la mkoa limetokana na Mto Togdheer, linalomaanisha mto mrefu kwa lugha ya Kisomali.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Regions of Somalia
  2. "Somalia". The World Factbook. Langley, Virginia: Central Intelligence Agency. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-01. Iliwekwa mnamo 6 Desemba 2013. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Togdheer kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.