Theodora wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo wa Mt. Theodora katika Menologion of Basil II (karne ya 11).

Theodora wa Aleksandria ni kati ya wanawake wamonaki wa Misri walioishi vizuri kadiri ya imani yao ya Kikristo katika karne ya 5.

Kwanza alikuwa mke wa gavana. Kwa kufidia dhambi aliyoifanya, alivaa kiume na kwenda kuishi monasterini. Aligundulika kuwa mwanamke baada ya kufa tu.[1]

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Septemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Delaney, John J. (15 Machi 2005). Dictionary of Saints. Random House Digital, Inc. uk. 590. ISBN 978-0-385-51520-7. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2012.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.