Swithun Wells

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Swithun.

Swithun Wells (Otterbourne, Hampshire, Uingereza, 1536 hivi – London, 10 Desemba 1591) alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki ambaye aliuawa kwa kunyongwa kwa kuficha mapadri waliofanya utume nchini kinyume cha sheria.

Papa Paulo VI tarehe 25 Oktoba 1970 alimtangaza kuwa mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 39.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifodini chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • McAuley, Fr James (16 Julai 2016). The Diocese of Portsmouth Parish Boundaries 2016 (PDF) (Ripoti). Portsmouth: Roman Catholic Diocese of Portsmouth. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 2018-01-30. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2018. {{cite report}}: Invalid |ref=harv (help); Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.