Studio ya Sanaa na Ubunifu ya Johfrim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Johfrim

Studio ya sanaa na ubunifu ya Johfrim ni jumba la sanaa la Kisasa la Kiafrika huko Nigeria na Scotland. Matunzio hayo yana kazi za sanaa 6,000 tofauti kutoka kwa wasanii mbalimbali wa Kiafrika kama vile Nike Davies-Okundaye na inashikilia nafasi ya tatu kwa ukubwa wa sanaa nchini Nigeria.[1][2][3][4]

Historia ya matunzio[hariri | hariri chanzo]

Johfrim ilianza kama makusanyiko ya kisanaa ya binafsi miaka 30 iliyopita ikianzishwa na kiongozi mkuu Josephine Oboh Macleod mnamo mwaka 2013. Amekuwa mwanamke wakwanza mwenye asili ya kiafrika kumiliki jumba la kisasa la sanaa na eneo la kitamaduni, huko Scotland.[5][6][7]

Johfrim inahifadhi ya kazi za sanaa za kiafrika pamoja na za kigeni[8]na matunzio hayo yamebeba na kushikilia nafasi ya tatu kwa ukubwa wa kazi za sanaa kiafrika makusanyo huko Nigeria ikiwa na kazi za kisanaa za kisanaa 6,000 bila ya kujumuisha sanamu, michoro na aina zingine za kazi. Bado haijafikia nafasi ya Oyasaf na Nike Art Gallery ambazo zina kazi 7,000 na 8,000 kazi za sanaa kila moja. Johfrim mara nyingi huwa ikitumika kama mwenyeji wa matukio ya kitamaduni na kuwakilisha kazi za sanaa za wasanii takribani 50 ikiwemo kazi za Lamidi Olonade Fakeye, ikichukua asilimia 70% ambao ni wenye asili ya kiafrika. Johfrim ni ushirika wa upendo wa JOM.[9][10][11][12][13]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nike Art, Nimbus, Red Door, Johfrim Art, Rele top galleries in Nigeria". Vanguard News (kwa American English). 2021-07-03. Iliwekwa mnamo 2022-03-16.
  2. "African arts in Scotland". Vanguard News (kwa American English). 2021-06-07. Iliwekwa mnamo 2022-03-16.
  3. Reporter. "Scottish lottery partners Kakofoni group to promote African arts". New Telegraph (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-16.
  4. "Kakofoni Group Promotes African Culture With Artworks". Independent Newspaper Nigeria (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-03-16.
  5. "wields art as tool to reduce racism classism". vanguardngr.com. Juni 6, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Art creator connoisseur politician activist/". vanguardngr.com. Februari 4, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "why I joined politics in the uk". independent.ng. Iliwekwa mnamo Mei 5, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "JOm partners Johfrim art and design studio for Afro-celtic textiles art". guardian.ng. Iliwekwa mnamo Mei 5, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Africa day african art in scotland". snackmag.co.uk. Iliwekwa mnamo Septemba 5, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "UK building relationship with Africa through art". vanguardngr.com. Iliwekwa mnamo Machi 5, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "nigerian artist espouses leadership uniqueness latest works". newtelegraphng.com. Iliwekwa mnamo Mei 4, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Get
  13. "nigerian artist oboh macleod espouses leadership and uniqueness in latest works". independent.ng. 2020-05-10.