Robert Chung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Chung

Dk Robert Chung (Kichina: 鍾庭耀; Jyutping: Zung1 Ting4-jiu6) ni msomi wa Hong Kong. Ni Mkurugenzi wa zamani wa Programu ya Maoni ya Umma (Public Opinion Programme (POP)) wa Chuo Kikuu cha Hong Kong.[1] POP ilikuwa taasisi huru mnamo Mei 2019 kama Taasisi ya Utafiti wa Maoni ya Umma ya Hong Kong, na Chung Alibakia kuwa kiongozi wake.[2][3]

Mnamo 2000, Chung aliandika makala ya kitaalamu akisema kwamba alihisi shinikizo kusitisha kufanya uchunguzi wa maoni ya umma. Baadaye ilijulikana kama 'Robert Chung affair'.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. May, Tiffany; Ramzy, Austin (2020-07-10), "Hong Kong Police Raid Pollster on Eve of Pro-Democracy Camp Primary", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2021-09-16
  2. "港大民意研究計劃 將脫離港大獨立 改稱香港民意研究所 續由鍾庭耀帶領 | 立場報道 | 立場新聞", 立場新聞 Stand News, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-06, iliwekwa mnamo 2021-09-16 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  3. "HKPORI – 香港民意研究所 – 香港民意研究所(下稱研究所)於二零一九年二月十九日正式註冊為有限公司,並於同年五月四日正式營運。研究所前身是香港大學民意研究計劃(下稱港大民研)。". www.pori.hk. Iliwekwa mnamo 2021-09-16.
  4. Peterson. Preserving Academic Freedom in Hong Kong: Lessons from the 'Robert Chung Affair' (PDF). pp. Vol 30 Part 2 Page 166. Iliwekwa mnamo 2021-09-16