Nenda kwa yaliyomo

Rajab Hamad Juma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rajab Hamad Juma (amezaliwa tar. 25 Mei 1956) ni mbunge wa jimbo la Tumbatu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Rajab Hamad Juma". 21 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.