Petro III wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Petro III wa Aleksandria (alifariki 11 Novemba 489) kuanzia mwaka 477 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 27 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Maandishi yake hayajatufika.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • "Petros III, Mongos (482–490)". Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-07.
  • البابا بطرس الثالث [Pope Peter III] (kwa Arabic). Official website of St. Takla Haymanot's Church. Iliwekwa mnamo 2011-02-13.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Meyendorff, John (1989). Imperial unity and Christian divisions: The Church 450-680 A.D. The Church in history. Juz. 2. Crestwood, NY: St. Vladimir's Seminary Press. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • "Peter Mongus". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913. http://www.newadvent.org/cathen/11770a.htm.
  • "Peter Mongo" in: The Oxford Dictionary of the Christian Church., F. L. Cross and E. A. Livingstone (ed.), London: Oxford University Press, 1974, p. 1074.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.