Pasargadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tomb of Cyrus the Great,Pasargadae

Pasargadi (pia: Pasargadae, fa. پاسارگاد pasargad) ni mahali pa kihistoria katika jimbo la Fars nchini Uajemi (Iran). Hapa ilikuwepo mji mkuu wa Koreshi Mkuu aliyeanza kuijenga mnamno mwaka 546 KK baada ya kuunganisha Umedi na Uajemi. Wakati ule Koreshi alijiita "Mfalme wa Wamedi na Waajemi" alitaka kuwa na mji mkuu katika kila kati ya sehemu mbili za ufalme wake akitumia Ekbatana kama mji mkuu katika Umedi wakati wa joto na alianzisha Pasargadi kama mji wake katika sehemu ya uajemi kwa ajili ya majira ya baridi.

Hadi kifo cha Koreshi ujenzi wa mji haukukamilishwa bado; wafuasi waliendelea lakini mfalme Dario I alianzisha mji mkuu mpya katika Persepolis.

Kati ya maghofu kuna kaburi 1 iliyotunzwa vizuri na kuaminiwa ni kaburi la Koreshi Mkuu.

Picha za Pasargadi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • "Pasargadae Excavation Documentation and Fragments of Wall Paintings from Pasargadae", Freer Gallery of Art, Washington, DC: Smithsonian Institution, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-06-07, iliwekwa mnamo 2012-12-27 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help).
  • "Records of Pasargadae", Ernst Herzfeld Papers, 5: Drawings and Maps, Washington, DC: Collections Search Center, S.I.R.I.S., Smithsonian Institution, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-27, iliwekwa mnamo 2012-12-27 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help).
  • Lunar eclipse in Pasargadae, Photoparsi, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (slideshow) mnamo 2012-12-09, iliwekwa mnamo 2012-12-27 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help).
  • Tall_e Takht, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (pictures) mnamo 2007-01-18, iliwekwa mnamo 2012-12-27 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help).
  • World Heritage Center, Unesco.
  • "Pasargadae", History, Iran Chamber Society.
  • "European languages", Save Pasargadae From Destruction, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-11, iliwekwa mnamo 2012-12-27 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  • "Pasargad", Land of Aryan, ATSpace.
  • Pasargad (virtual reconstruction of Pasargadae), Persepolis3D.
  • Persepolis & Pasargad (kwa German), M Heße, 2009, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (photo gallery) mnamo 2016-04-20, iliwekwa mnamo 2012-12-27 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link).
  • Pasargadae, Ancient History Encyclopedia
  • Pasargadae, Cultural Heritage Organization of Iran, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-07, iliwekwa mnamo 2012-12-27 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)