Nenda kwa yaliyomo

Oyugis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wanafunzi wa shule ya awali katika Kituo cha Kutunza Watoto cha Amani uko Oyugis.


Oyugis
Nchi Kenya
Kaunti Homa Bay
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 52,354

Oyugis ni mji wa Kenya katika kaunti ya Homa Bay.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 52,354[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.