Mtumiaji:Habst/sanduku la mchanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Kiprono Cheruiyot
Robert Kiprono Cheruiyot katika 2010 Boston Marathon karibu pointi ya nusu Wellesley.
AmezaliwaBomet, Rift Valley Province, Kenya[1]
10 Agosti 1988 (1988-08-10) (umri 35)[1]
UtaifaMkenya
Kazi yakeRiadhaMbio ya Marathon

Robert Kiprono Cheruiyot (aliyezaliwa mwaka 1988) ni mkimbiaji wa Marathon Mkenya.[2] Cheruiyot alikuwa bingwa wa Marathoni ya Boston mwaka 2010, akiweka rekodi ya tariki.[3] Alikuwa ya tano katika Boston Marathon mwaka 2009.[4] Alishinda Marathoni ya Frankfurt mwaka 2008, akiweka rekodi ya tariki, na akikuwa ya pili katika Frankfurt Marathon mwaka 2009.[1][5]

References[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 "Robert Kiprono Cheruiyot biography". World Marathon Majors. Iliwekwa mnamo 2010-04-28.
  2. IAAF Profile - Robert Kiprono Cheruiyot
  3. Liz Robbins. "The Other Cheruiyot Wins Boston Marathon", 2010-04-19. Retrieved on 2010-04-19. 
  4. "113th Boston Marathon official results". Boston Athletic Association.
  5. "2010 Boston Marathon Men's Bios". LetsRun.com. 2010-04-13. Iliwekwa mnamo 2010-04-19.