Mkoa wa Nugal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
.

Nugal (Kisomali: Nugaal‎, Kiarabu: نوغال‎, Kiitalia: Nogal) ni mkoa wa kiutawala (gobol) wa ukanda wa kaskazini Somalia.[1]

Maelezo ya jumla[hariri | hariri chanzo]

Umepakana na mikoa ya Somalia kama Sool upande wa magharibi, Bari upande wa kaskazini, na Mudug upande wa kusini na mkoa wa Somali wa Ethiopia. Upande wa mashariki imepakana na bahari ya Somalia.

Nugal ni mji wa kati wa Garowe, ambao ni mji mkuu wa Puntland.

Alama kubwa ya mkoa huu ni Bonde la Nugaal, linalojazwa na mito ya Nugal na Dheer ambayo ni ya msimu wa masika kati ya Aprili–June.

Wilaya[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Nugal una jumla ya wilaya tano:[2]

Miji mikubwa[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Somalia". The World Factbook. Langley, Virginia: Central Intelligence Agency. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-01. Iliwekwa mnamo 6 Desemba 2013. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Nugaal Region" (PDF). Iliwekwa mnamo 30 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Nugal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.