Matthew Ayariga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Matthew Ayariga alikuwa Mkristo kutoka Ghana[1][2][3][4][5][6][7] ambaye, pamoja na Wakopti 20 kutoka Misri[8], alitekwa na Waislamu wenye itikadi kali wa Daish huko Sirte, Libya, alipokuwa anafanya kazi ya ujenzi mnamo 27 Desemba 2014 au Januari 2015.[9]

Hatimaye waliuawa wote pamoja kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yao[10][11][12][13][14], kama ilivyoonyeshwa katika video tarehe 15 Februari 2015[15]. Kifo chao kilithibishwa na serikali na Kanisa[16].

Tarehe 21 Februari 2015 Patriarki Tawadros II wa Alexandria aliwatangaza kuwa watakatifu[17].

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe ya kifodini chao, 15 Februari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Martin Mosebach aliandika kitabu juu yao: The 21 - A Journey into the Land of Coptic Martyrs.[18]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ghanaian beheaded in Libya?". www.ghanaweb.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Juni 2017. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Libya's Mystery Beach and the 21st Victim - TalkLeft: The Politics Of Crime". www.talkleft.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "February anniversary of the brutal murder of 21 Coptic Christians in Libya one year ago.", DavidAlton.net, 2016-02-12. (en-US) 
  4. "Ghanaian Christian Among Those Beheaded By ISIS". 
  5. Online., Herald Malaysia. "The bodies of the Coptic Martyrs beheaded by Isis found in Libya". Herald Malaysia Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-13. Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
  6. "Ghanaian beheaded in Libya?". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-13. Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
  7. "CRISTIANI COPTI DECAPITATI DALL'ISIS/ Sirte, rinvenuti 21 corpi in una fossa comune", Il Sussidiario.net. Retrieved on 2020-02-14. Archived from the original on 2018-02-13. 
  8. "Thousands mourn Egyptian victims of Islamic State in disbelief". Reuters. 16 Feb 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 26 Feb 2015. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "ISIL video shows Christian Egyptians beheaded in Libya". Al Jazeera. 16 Feb 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 16 Feb 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. Later, when one of the perpetrators of the operation was arrested, he admitted in the investigation that the slaughter had taken place at the beach opposite Al Mahary Hotel in Sirte."ليبيا.. اعترافات مثيرة للشاهد على ذبح الأقباط". www.alarabiya.net (kwa Kiarabu). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-07. Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
  11. ""البنيان المرصوص" تكشف التفاصيل الكاملة لذبح الأقباط المصريين في ليبيا", 2017-10-07. 
  12. "داعشى يعترف بالتفاصيل الكاملة لاغتيال المصريين فى سرت الليبية بعد القبض عليه.. الإرهابى أبو عامر الجزراوى قاد المجموعة المجرمة.. وعناصر من تونس وليبيا شاركت فى الجريمة النكراء.. والسلطات تستخرج رفات الضحايا - اليوم السابع", اليوم السابع, 2017-10-07. (ar-Ar) 
  13. "بالصور.. التفاصيل الكاملة لقصة ذبح الأقباط المصريين في سرت الليبية", إرم نيوز. Retrieved on 2020-02-14. (ar-AR) Archived from the original on 2018-02-13. 
  14. "بعد العثور على رفات الضحايا.. تفاصيل ذبح المصريين بليبيا", البوابة نيوز. 
  15. Raman Media network: "ISIS Video Shows Mass Beheading of Christian Hostages" by Rakash Raman February 16, 2015
  16. Mahmoud Mostafa. "Libyan parliament confirms death of 21 kidnapped Coptic Egyptians", February 14, 2015. Retrieved on 16 Feb 2015. Archived from the original on February 15, 2015. 
  17. "Coptic Church Recognizes Martyrdom of 21 Coptic Christians". 21 Februari 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. "Lots of Coptic clergy were rubbing shoulders with members of the Bruderhof". The Tablet (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-12. Iliwekwa mnamo 2019-04-05.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.