Lola Castegnaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lola Castegnaro (16 Mei 1900 - Septemba 1979) alikuwa raia wa Kosta Rika, mtunzi na mwalimu wa muziki. Alizaliwa Kosta Rika, na alisoma muziki na baba yake, mtunzi mzaliwa wa Italia Alvise Castegnaro.[1] Aliendelea na masomo yake huko Milano na Akademia Filarmonica huko Bologna. Baada ya kumaliza masomo yake, alirudi Kosta Rika mwaka wa 1941 ambako alipanga matangazo ya redio ya kazi yake na kuendesha opera. Baadaye alihamia Meksiko na kuchukua nafasi ya kufundisha katika Akademia de Canto de Fanny Anitùa. Alifariki Meksiko.[2][3]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Castegnaro alijulikana kwa nyimbo. Kazi zilizochaguliwa ni pamoja na:

  • Mirka, operetta
  • Sueño de amor
  • La casita
  • Panis angelicus
  • Ojos perversos
  • Lasciate amare[4]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sadie, Julie Anne; Samuel, Rhian (1994). The Norton/Grove dictionary of women composers (Digitized online by GoogleBooks). ISBN 9780393034875. {{cite book}}: Cite has empty unknown parameter: |1= (help)
  2. Ficher, Miguel; Schleifer, Martha Furman; Furman, John M. (1996). Latin American classical composers: a biographical dictionary. Scarecrow Press.
  3. "Castegnaro, Lola (1900–1979)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 19 Januari 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Canciones del alma pura". {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |1= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lola Castegnaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.