Korbiniani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Korbiniani na dubu.

Korbiniani (670/680 - alifariki Maia, Ujerumani, 8 Septemba 725 hivi) alikuwa mmonaki kutoka Ufaransa au Visiwa vya Britania aliyefanya umisionari kama askofu katika Bavaria ya leo akivuna matunda mengi [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.