Kastamonu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha iliyopigwa kwa juu ya mji huu wa Kastamonu.

Kastamonu ni wilaya kuu ya Jimbo la Kastamonu huko nchini Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wanaoishi katika wilaya hii ilikadiriwa kufikia kiasi cha 102,059 ambao wengine 64,606 wanaishi katikati ya mji huu wa Kastamonu.[1][2] Wilaya inachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,834,[3] na umelalia katika eneo la mapolomoko yenye mita 904. Wilaya hii ipo kusini mwa jimbo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Falling Rain Genomics, Inc. "Geographical information on Kastamonu, Turkey" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-11-14.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  1. Turkish Statistical Institute. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (kwa Turkish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (XLS) mnamo 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-11-17.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-11-22.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. Statoids. "Statistical information on districts of Turkey" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-11-22.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kastamonu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.