John Paul Lwanji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Paul Lwanji (amezaliwa 1 Machi,1949) ni mbunge wa jimbo la Manyoni Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu John Paul Lwanji". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]