Jermaine Dupri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jermaine Dupri
Dupri mnamo 2012
Dupri mnamo 2012
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Jermaine Dupri Mauldin
Pia anajulikana kama J.D.
Amezaliwa 23 Septemba 1972 (1972-09-23) (umri 51)

Asheville, North Carolina

Asili yake Atlanta, Georgia, Marekani
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mtayarishaji wa rekodi, mtunzi wa nyimbo, rapa
Miaka ya kazi 1987–mpaka sasa
Studio So So Def Recordings, Island Urban Music, TAG Records[1]

Jermaine Dupri Mauldin (anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama Jermaine Dupri au J.D.; amezaliwa 23 Septemba 1972) ni mshindi wa Tuzo ya Grammy, akiwa kama msanii bora wa rekodi, mtayarishaji, mtunzi wa nyimbo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani.

Amefanya kazi na wasanii kama Mariah Carey, Nelly, Janet Jackson, Chanté Moore, Tamia, Mya, Kris Kross, na wengine wengi tu, huko Marekani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jermaine Dupri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.