Janet Otieno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Janet Achieng Otieno (alizaliwa 24 Desemba 1977) maarufu kama Janet Otieno, [1] ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa injili [2] [3] kutoka Kenya . Alikuwa mshindi wa Tuzo za Mwafaka[4] [5] na kuteuliwa katika Tuzo za Groove za "Collaboration of the year" mwaka wa 2014 kwa wimbo "Napokea Kwako" ambao alimshirikisha Christina Shusho kutoka Tanzania. [6]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Janet Achieng Otieno alizaliwa 24 Desemba 1977 ni mtoto wa pili kuzaliwa katika familia ya watoto sita. Janet ameolewa na Alfred Otieno ambaye walikutana naye kanisani walipokuwa wakiimba katika kanisa la redeemed gospel church na kuoana mwaka wa 1996. [7] [8] [9] [10] [11]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Janet, Annita and Weezdom!". Maisha Magic East – Janet, Annita and Weezdom! (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-24. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Janet Otieno". Dorhema (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 4 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Ignatious, Ingavo Shem (12 Septemba 2018). "Gospel Singer Janet Otieno Graces the Stage at Vigor Awards in Toronto Canada". Kenyan Musik Entertainment (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-15. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Janet Otieno-Prosper". International Center for Journalists (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  5. Ignatious, Ingavo Shem (26 Agosti 2015). "GET READY FOR MWAFAKA AWARDS 2015". Kenyan Musik Entertainment (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-15. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Gachango, Rayhab (30 Aprili 2014). "Groove Awards 2014 Nominees". Potentash (kwa American English). Iliwekwa mnamo 4 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Meet The Stunning Gospel Singer Janet Otieno's Handsome Husband and Cute Kids – Opera News". ke.opera.news. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-15. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Nyanga, Caroline. "10 things you did not know about gospel singer Janet Otieno". Standard Entertainment and Lifestyle (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 4 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. Matiko, Thomas (15 Mei 2021). "Gospel artiste Janet Otieno: It's time to forget the little mishaps and dramas in gospel music". Nation (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 6 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. Otukho, Jackson (30 Septemba 2019). "13 photos of gospel singer Janet Otieno showing her incredible fashion sense". Tuko.co.ke – Kenya news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 4 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. Mwarua, Douglas (3 Aprili 2017). "Celebrated gospel singer Janet Otieno introduces her hubby to fans for the first time (Photos)". Tuko.co.ke – Kenya news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 4 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janet Otieno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.