Gozelino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Gozelino alivyochorwa.

Gozelino (kwa Kifaransa: Gauzelin; karne ya 9 - 7 Septemba 962) alikuwa askofu wa Toul, katika eneo la Ufaransa wa leo, tangu mwaka 922[1][2] hadi kifo chake [2][3] .

Alistawisha nidhamu kati ya wamonaki [3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba [5][6][7].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Bishop St. Gauzelin". Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 "Saint Goscelinus of Toul". Saints SQPN. 8 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 "Gauzelin of Toul, St". Encyclopedia.com. 2003. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/69540
  5. Martyrologium Romanum
  6. Catholic Church (2004). Martyrologium Romanum (2004).
  7. "Paroisse Orthodoxe Ste-Clotilde". www.facebook.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-07-16.

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Michel, Jacqueline; Parisse, Michel (1972). Gauzelin, évêque de Toul (922-962) (kwa Kifaransa).
  • Martin, Eugène (1893). Quelques observations des évéques de Toul prédécesseurs de Saint-Gauzelin (kwa Kifaransa). Nancy: Impr. de Vagner.
  • Parisse, Michel. Un évêque réformateur : Gauzelin de Toul (922-962) (kwa Kifaransa). Ad libros !.
  • Nightingale, John (2001). A New Foundation and its Donors: Bouxières-aux-Dames (kwa Kiingereza). Monasteries and Patrons in the Gorze Reform.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.