George Mcheche Masaju

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

George Mcheche Masaju ni mwanasheria wa nchini Tanzania. Mwaka 2015 aliteuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa Mwanasheria Mkuu wa nchi akaendelea katika nafasi hii baada ya kuingia kwa raisi mpya John Magufuli.[1][2]

Masaju alikuwa mshauri wa kisheria katika ofisi ya raisi kabla ya kuwa naibu mwanasheria mkuu mwaka 2009. [3] . Kutoka hapo alipanda cheo baada ya kujiuzulu kwa mwanasharia mkuu aliyetangulia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rais amteua George Mcheche Masaju kuwa Mwana Sheria Mkuu wa Serikali". Michuzi Blog. 3 Januari 2015. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Masaju sworn in as Attorney General". 
  3. "JK kuapisha aliowateua leo". Michuzi Blog. 21 Oktoba 2009. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]