Fatima Tahir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fatima Ja'afar Tahir (alizaliwa 8 Februari 1966) ni Profesa wa Biolojia wa Nigeria na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Bauchi tangu mwaka 2022.[1]. Fatima Alikuwa Kaimu Makamu Mkuu katika Chuo Kikuu cha Jeshi la Nigeria Biu, Jimbo la Borno na anatambulika kama profesa wa kwanza wa kike wa biolojia aliye tayarishwa na Chuo Kikuu cha Abubakar Tafawa Balewa, katika Jimbo la Bauchi.[2]

Maisha Ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Fatima Tahir alizaliwa tarehe 8 Februari 1966, katika familia ya Alhaji Ja’afar Tahir.[3] Akiwa ni dada mdogo wa marehemu Dk. Ibrahim Tahir.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatima Tahir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.