Doa Aly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Doa Aly
Amezaliwa 1976
Cairo
Nchi Misri
Kazi yake Msanii


Doa Aly (alizaliwa mnamo mwaka 1976) ni msanii wa nchini Misri.

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa mwaka 1976 Cairo, nchini Misri.[1]

Alisoma Sanaa ya ubunifu kutoka chuo kikuu cha Helwan - Cairo na kupata shahada ya ubunifu mnamo mwaka 2001.[2][3]

Kazi yake[hariri | hariri chanzo]

Kazi ya Aly inahusisha vielelezo, upakaji rangi, media-anuai na vinyago.[4][5][6][7] Kazi zake zilionekana katika nyumba za maonyesho huko Afrika, nchi za mashariki ya kati na ulaya. Onyesho lake la kwanza la upakaji rangi lilitambulika kama Pixel Series iliyofanyika katika jumba la maonyesho la Mashrabia iliyo Cairo.[8]

Tamasha lake la kwanza barani ulaya ilifanyika Paris, Ufaransa mwaka 2007 katika jumba la maonyesho la Kamel Mennour.[9] Kazi yake ilionekana katika maonyesho na matamasha Dakar Biennale nchini Senegal, Jumba la makumbusho Tate iliyopo London na Uturuki.[10] Alikuwa msanii katika makazi ya Makan inayopatikana Amman, Jordan.[11] Aly alishirikishwa katika filamu iitwayo Some Movements for Web Camera kupitia shule ya taifa ya filamu ya Denmark.[12]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Gypsum Gallery". Iliwekwa mnamo 7 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Commissioned Artists". Temporary Art Platform.
  3. Enrico. "Doa Aly Studio Visit, Cairo (Egypt)". Vernissage.tv. Vernissage. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Dissecting Ovid: A review of Doa Aly’s 'The House of Sleep'", Mada Masr, 12 February 2014. Retrieved on 7 March 2015. Archived from the original on 2016-03-26. 
  5. "The House of Sleep by Doa Aly". CairoScene.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2015. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "'Desire, Deceit & Difficult Deliveries' by Doa Aly at Townhouse Gallery". Cairo360.com. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Anna, Seaman. "Giant drill bit among public art unveiled in Dubai's heritage area". TheNational.ae. The National. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Mashrabia Gallery". LonelyPlanet.com. Lonely Planet. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Doa Aly". Artnews.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-17. Iliwekwa mnamo 2021-03-27.
  10. "Art Alert: Exhibition at Cairo's Townhouse tackles desire and body image", AhramOnline (Al-Ahram), 8 May 2013. Retrieved on 7 March 2015. 
  11. Mejcher-Atassi, Sonja; Schwartz, John Pedro (Agosti 2012). Archives, Museums and Collecting Practices in the Modern Arab World. Ashgate. uk. 163. ISBN 9781409446163. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2015.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. Hjort, Mette (Agosti 2013). The Education of the Filmmaker in Africa, the Middle East, and the Americas. Palgrave Macmillan. uk. 134. ISBN 9781137032683. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2015. {{cite book}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Doa Aly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.