D-Black

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
D-Black
Picha Ya DBlack Kwenye Tuzo Za Muziki
Picha Ya DBlack Kwenye Tuzo Za Muziki
Alizaliwa Januari 12 1987
Nchi Ghana
Kazi yake Msanii

Desmond Kwesi Blackmore (alizaliwa Januari 12, 1987), anayejulikana kwa jina lake la kisanii D-Black, ni mwanamuziki wa hip-hop na Afrobeat na mjasiriamali kutoka Ghana. [1] Amefafanuliwa kama Mwanamuziki aliyefanikiwa kwa burudani" [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Who Is Desmond Kwesi Blackmore? –News Ghana". Newsghana.com.gh. 18 Oktoba 2015. Iliwekwa mnamo 18 Oktoba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The Creative in the Numbers Game". 21 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu D-Black kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.