Bosmic Otim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


William Otim
Nchi Uganda
Majina mengine Bosmic Otim
Kazi yake mwanamziki na mwanasiasa


William Otim anajulikana kama Bosmic Otim au Lucky Bosmic Otim ni mwanamuziki na mwanasiasa aliezaliwa na kukulia Gulu nchini Uganda[1]

Mnamo mwaka 2006 alikuwa mhamasishji amani kupitia muziki, wakati National Resistance Movement ilikuwa ikipigana na Lord's Resistance Army mwaka [2][3] 2007. Mnamo mwaka 2007 alishinda tuzo za Pearl of Africa Music Awards[4].

Alifanyia mitihani yake ya Cheti cha Juu cha Elimu cha Uganda ambayo alifeli[5] na kuzuia nia yake ya kugombea kisiasa katika uchaguzi wa 2021.Lakini baadaye alivuka hadi NRM[6] baada ya kukutana na Rais Yoweri Museveni.Pia alipigwa marufuku kutumbuiza [7]nchini Uganda wakati alipokuwa People Power, kwa mazungumzo yake dhidi ya serikali.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://brooklynrail.org/2008/12/music/the-biggest-weapon-in-northern-uganda
  2. https://en.wikipedia.org/wiki/Lord%27s_Resistance_Army
  3. https://books.google.com/books?id=NRS_DwAAQBAJ&q=birth+date+for+bosmic+otim&pg=PA159
  4. "PAM Awards add life to Lira". New Vision (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  5. https://www.watchdoguganda.com/news/20200228/88331/uace2019-nrms-bosmic-otim-blames-triple-f-performance-on-mafias.html
  6. iWitness (2020-01-25). "Bebe Cool Leads Over 40 Musicians To NRM's National Delegates Conference In Namboole". Galaxy FM 100.2 (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  7. https://observer.ug/news/headlines/62374-people-power-musician-bosmic-banned-from-performing-in-uganda
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bosmic Otim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.