Blxckie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sihle Sithole
Amezaliwa
Durban (afrika kusini)
Nchi Durban
Kazi yake Rapa


Sihle Sithole, anajulikana zaidi kama Blxckie, ni rapa wa nchini Afrika Kusini. [1] Mnamo mwaka 2021, alipewa jina la Apple Music 's Up Next . [2] [3] [4]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Blxckie anatokea Durban, Afrika Kusini ambako alizaliwa na kukulia, mara nyingi alitembelea Johannesburg . Mnamo mwaka 2020, alijikuta "amekwama" huko Johannesburg wakati nchi hiyo ilipofungwa kwa siku 21, lakini baadaye akasema ilikuwa "baraka". [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Rise of Blxckie". BREAKROOM AFRICA (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-02. Iliwekwa mnamo 2022-01-02.
  2. "BLXCKIE ANNOUNCED AS APPLE MUSIC UP NEXT ARTIST IN SOUTH AFRICA". TRACE (kwa Kiingereza). 2021-03-23. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 2022-01-02.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Shumba, Ano (2021-03-19). "SA: Blxckie featured on Apple Music Up Next". Music In Africa (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Julai 2021. Iliwekwa mnamo 2022-01-02.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Blxckie Named Apple Music's 'Up Next' Artist". okayafricasite (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-01-02.
  5. "Meet Blxckie: South African hip-hop's new kid on the block [watch]". thesouthafrican.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-01-11.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blxckie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.