Barbara Braathen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Barbara Braathen
Mwandishi wa sanaa Barbara Braathen, NYC 1996
Kazi yakeMuuzaji sanaa

Barbara Braathen ni muuzaji wa sanaa, mwanzilishi wa geleria na mkusanyaji wa sanaa Mmarekani. Aliendesha geleria za sanaa ya kisasa huko New York kuanzia mwaka 1980 hadi 2005.[1][2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "YouTube Barbara Braathen - Tafuta na Google". www.google.com. Iliwekwa mnamo 2024-05-13.
  2. "Barbara Braathen – An Aesthete in The Art Industry". www.readersdigest.co.uk (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-05-13.
  3. "UpperDelaware.com - Visitor Information". www.upperdelaware.com. Iliwekwa mnamo 2024-05-13.
  4. https://www.theatlantic.com/magazine/archive/1996/07/living-room-galleries-9607/376636/
  5. "Governance". spring-river (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-05-13.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barbara Braathen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.