Barbadosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Barbados)
Barbados
Bendera ya Barbados Nembo ya Barbados
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: "Pride and Industry"
Wimbo wa taifa: In Plenty and In Time of Need
Lokeshen ya Barbados
Mji mkuu Bridgetown
13°10′ N 59°32′ W
Mji mkubwa nchini Bridgetown
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali Jamhuri
Sandra Mason
Mia Mottley
Uhuru
kutoka Uingereza

30 Novemba 1966
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
431 km² (ya 199)
Kidogo sana
Idadi ya watu
 - [[]] kadirio
 - 1010 sensa
 - Msongamano wa watu
 
(ya 181)
277,821
660/km² (ya 15)
Fedha Barbados dollar ($) (BBD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC)
Intaneti TLD .bb
Kodi ya simu +1-246

-


Barbadosi ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi takriban 430 km kaskazini - mashariki kwa Venezuela (Amerika Kusini).

Nchi jirani za karibu kuvukia bahari ni Saint Lucia na Saint Vincent upande wa magharibi, Trinidad na Tobago upande wa kusini na Grenada upande wa kusini-magharibi.

Barbados ni kisiwa cha Antili Ndogo. Kwa urefu kinafikia km 34 na kwa upana 23.

Wakazi ni 277,821, na kwa asilimia 91 wana asili ya Afrika, 4% ya Ulaya, 1% ya India.

Lugha rasmi ni Kiingereza, ingawa wakazi wengi kabisa wanaongea kwa kawaida aina ya Krioli inayoitwa Kibajan.

Upande wa dini, 75.6% ni Wakristo, hasa Waanglikana (23.9%) na Wapentekoste (19.5%). Dini nyingine kwa pamoja zinafikia 3%, kwa kuwa 21% hawana dini yoyote.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Barbadosi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.