Aubati wa Avranches

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ndoto ya Mt. Aubati ambayo inasemekana Malaika Mikaeli alimuagiza kujenga kanisa mlimani kwa heshima yake[1].
Mlima Saint-Michel kutoka angani.

Aubati (au Aubert, Autbert; karne ya 7 - 720) alikuwa askofu wa Avranches, Normandy huko Ufaransa[2].

Kwa njia yake heshima kwa malaika mkuu Mikaeli ilistawi sana.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Septemba[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.