Alpino wa Chalons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Alpino wa Chalons (alifariki Chalons, karne ya 5) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa[1], baada ya kuwa mwanafunzi wa Lupo wa Troyes [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Burchi, Bibliotheca Sanctorum, vol. I, p. 721.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/69490
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.