Adel Habib Beldi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adel Habib Beldi ( alizaliwa 9 Julai 1994) ni mchezaji wa kandanda wa Algeria ambaye anacheza kama mshambuliaji. [1][2] Adel ni mshambuliaji na mchezaji wa zamani wa Lekhwiya SC katika Ligi ya Qatar Stars. [3]

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 15 Aprili 2011, Beldi alicheza mechi yake ya kwanza ya kulipwa katika klabu ya Lekhwiya inayojulikana kama know Duhail Sc kama mchezaji wa akiba katika mechi ya ligi dhidi ya klabu ya Al Rayyan na kama mchezaji mdogo zaidi katika ligi. [4][5]

Heshima[hariri | hariri chanzo]

  • Alishinda Ligi ya Qatar Stars mara moja akiwa na klabu ya Lekhwiya mnamo 2011

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Qatar Stars League Profile Archived Aprili 3, 2012, at the Wayback Machine
  2. "Rangers reject bid for Madjid Bougherra". 25 Julai 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Aprili 2012. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2011. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Adel Habib Beldi". www.footballdatabase.eu. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Al-Rayyan 2-1 Lakhwiya
  5. الإصرار واللياقة واستغلال غياب الأساسيين في لخويا أسباب تفوق الريان Archived Machi 17, 2012, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adel Habib Beldi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.