Krioli ya Gayana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Krioli ya Guyana)

Krioli ya Gayana ni lugha ya Krioli inayotumiwa hasa katika nchi ya Gayana (650,000) na katika nchi jirani ya Surinam (50,000). Wenyewe wanaiita Creolese au Guyanese.

Ni lugha ya Krioli yenye asili ya Kiingereza, pamoja na athira za lugha za Kiafrika, Kihindi, Kiindio na Kiholanzi. Inafanana na Krioli ya Kiingereza ya Visiwa vya Karibi: kuna tofauti za msamiati na sarufi lakini kwa jumla wasemaji huelewana.

Lugha hiyo ni tofauti na Krioli ya Guyani ya Kifaransa ambayo ni lugha yenye asili ya Kifaransa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Bickerton, Derek (1973), "The nature of a creole continuum", Language, 49 (3): 640–669, doi:10.2307/412355
  • Edwards, Walter (1989), "Suurin, koocharin, and grannin in Guyana: Masked intentions and communication theory", American Speech, 64 (3): 225–232, doi:10.2307/455590
  • Escure, Geneviève (1999), "The pragmaticization of past in creoles", American Speech, 74 (2): 165–202, JSTOR 455577
  • Gibson, Kean (1986), "The ordering of auxiliary notions in Guyanese Creole", Language, 62 (3): 571–586, doi:10.2307/415478
  • Gibson, Kean (1988), "The habitual category in Guyanese and Jamaican creoles", American Speech, 63 (3): 195–202, doi:10.2307/454817

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Krioli ya Gayana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.