Historia ya Pemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Pemba
Mabaki ya Pujini huko Chake Chake
Msikiti wa Chakwa katika wilaya ya Micheweni
Ikulu ya Mkama Ndume ndani ya Pujini katika wilaya ya Chake Chake

Historia ya Pemba inahusu kisiwa hicho kikubwa cha matumbawe nchini Tanzania.

Kisiwa hicho kinakaliwa na Wabantu kutoka pwani ya Tanga kuanzia miaka ya 600 AD. Kisiwa hicho kina utajiri mwingi katika biashara, kilimo na historia ya dini ambayo imechangia vikubwa kwenye biashara kupitia Bahari ya Hindi.

Ushahidi wa kwanza wa kukaliwa kwake ulikuwa ni katika karne ya 7 AD katika eneo lilioitwa Tumbe ndani ya wilaya ya Micheweni ya kisiwa hicho.[1]

Dara za kiisimu za kiakiolojia zinaonyesha kuwa walowezi wa kwanza waliweza kuhamia wakitokea bara.[2] Miji iliendelea kuanzishwa kuzunguka kisiwa hicho baada ya Tumbe, na mabaki ya kilimo na kauri kuonyesha kuwa watu wake walikuwa wakulima.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Fleisher, Jeffrey; LaViolette, Adria (2013-11-22). "The early Swahili trade village of Tumbe, Pemba Island, Tanzania, AD 600–950". Antiquity. 87 (338): 1151–1168. doi:10.1017/s0003598x00049929. ISSN 0003-598X.
  2. Kusimba, Chapurukha M., mhr. (2003). East African archaeology: foragers, potters, smiths, and traders (toleo la 1. ed). Philadelphia: Univ. of Pennsylvania Museum of Archaeology and Anthropology. ISBN 978-1-931707-61-9. {{cite book}}: |edition= has extra text (help)
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Pemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.